mobile header
Mkutano wa nne wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira utahusu #SolveDifferent
#SolveDifferent
Chagua kutumia Solve Different

Jukumu letu linapaswa kuwa kutafuta utatuzi bunifu na unaofuata mbinu ya #SolveDifferent ili kutumia raslimali kwa njia mwafaka na endelevu zaidi. Ni wajibu wetu Kupanua Mawazo na Kuishi kwa Hekima.

Habari za hivi punde.
Story

Je, wajua kuwa unapotiririsha filamu mtandaoni, au unapotafuta jibu la swali fulani, unaathiri mazingira?…

Press release

Zaidi ya watu 4,700 wamekusanyika ili kubuni sera mpya, teknolojia na ufumbuzi bunifu wa kutimiza matumizi na uzalishaji endelevu. Matokeo kutoka…

Press release

Takriban watu 2,000  – wakiwemo watu wenye vyeo vya juu kutoka IBM, Google na Barclays – wanahudhuria Kikao cha Pili cha Dunia cha Kongamano…

Story

Tunafurahia kuwakaribisha Young Champions of the Earth wa 2018 kwa Mkutano wa Nne wa Mazingira ya Umoja wa Mataifa. Washindi saba wa tuzo,…