mobile header
Mkutano wa nne wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira utahusu #SolveDifferent
#SolveDifferent
Chagua kutumia Solve Different

Jukumu letu linapaswa kuwa kutafuta utatuzi bunifu na unaofuata mbinu ya #SolveDifferent ili kutumia raslimali kwa njia mwafaka na endelevu zaidi. Ni wajibu wetu Kupanua Mawazo na Kuishi kwa Hekima.